Jumapili
ya Jana March 16 ndani ya Club Billcanas Meninah na Linah Sanga wa Tht
waliunganisha Birthday zao kufanya kitu kikubwa kwa mashabiki wa muziki
wao kwa kusherehekea pamoja na kufuatiwa na bonge la show toka kwa
wasanii mbalimbali waliokuwepo.
Meninah
na Linah walitoa nafasi ya upendeleo kwa kuwaalika wawakilishi wa
Mashabiki waliokuwepo Club kwa kupata kipande cha keki siku hiyo,keki
hiyo ilikua imetengenezwa kwa ishara ya Gita na kipaza sauti[Mic].
Hizi ni baadhi ya picha kuanzia Red carpet mpaka show nzima ilivyokuwa.
Post a Comment