Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA “NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA”

 

 
       4
2
Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema “Nini mvua sisi tunataka sera tu, tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea wa (CCM)”PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 3
Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu.
4
Mkutano ukiendelea huku wananchi wakimsikiliza wakiwa katika mvua kubwa 5
Wananchi hawa wakimsikiliza mgombea huyo wa CCM huku wakiwa wamejihifadhi katika moja ya mabanda ya biashara ndogondogo kijijini hapo. 6Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu akimnadhi Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kjiji cha Wenda kata ya Mseke. 7
Wananchi wakinyanyua mikono0 yao juu kuonyesha ishara ya kumkubali Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani. 9
Msanii Dokii akiimba na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Tanangozi kata ya Mseke. 10
Wananchi wakiserebuka kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Tanangozi. 11
Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani kata ya Mseke. 12
Umati uliohudhuria katika mkutano huo kijijini Saadani. 13
Umati uliohudhuria katika mkutano huo kijijini Saadani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top