Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Huyu ndiye Mrembo Victoria anayedaiwa Kumuibia Wema Sepetu,Afunguka kuhusu Uhusiano wake na Diamond Platnum

 


Msanii wa Bongo Flava hapa nchini Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka Mr. Ngololo alikunusha tetesi za kuwa na mahusiano na mwimbaji kutoka pande za Kenya Victoria Kimani baada ya kukutana hivi karibuni Afrika Kusini. 
Tetesi hizo zilikuja baada ya kupiga picha ya

pamoja wakati walivyoungana na wasanii wengine wa kubwa wa Barani Afrika kwa ajili ya ‘One Campaign. 
Victoria ambaye makazi nchini Nigeria na yeye ametoa yake baada ya kufanaya mahojiano na Nairobi News alisema ” Mimi sijui hizo tetesi zimetoka wapi nimekutana na Diamond mara moja tu tulipokuwa tunarekodi wimbo wa pamoja wa One Campaign huko Afrika Kusini wiki mbili zilizopita, pia siana namba yake na sijawahi kuwasiliana na nae toka tulivyokutana na Afrik
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top