Rais Dr
Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na waziri mkuu mstaafu ambaye ni mbunge wa
Monduli Mh. Edward Lowassa na viongozi wengine wakiwa katika mazishi ya
balozi Fulgence Kazaura huko Misenyi Kagera.
Waziri
mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo
kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo
hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati
wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.
Picha na Aboubakary Liongo.
Post a Comment