Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kauli ya Raisi wa Barca kuhusu mkataba mpya wa Messi

374721_heroaMiezi kadhaa baada ya Cristiano Ronaldo kupewa mkataba mnono zaidi kuliko mpinzani wake Lionel Messi, raisi wa klabu ya Barcelona  Josep Maria Bartomeu amesema kwamba Lionel Messi atasaini mkataba mpya mnono na Barca mwishoni mwa msimu utakaomfanya awe mwanasoka anayelipwa fedha nyingi zaidi duniani.
Boss huyo wa Barca amesema nia ya klabu  ni kuendelea kuwa na Messi kwa muda mrefu na ndio maana lengo kwa sasa ni kumshawishi Messi, mwenye miaka 26 kuendelea kubaki Camp Nou.
“Tunataka kumfanya mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi duniani na mpaka kufikia mwishoni mwa msimu kila kitu kitakuwa sawa,” Bartomeu alikaririwa na  AS.
“Hatutomuuza. Yupo nasi na matumaini ni kwamba atastaafu soka akiwa hapa.”
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top