Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIVUKO CHA MV. MAGOGONI CHAPATA HITILAFU JIONI HII

 

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwwY3CJhGQjsIvcXBx2TZBEfmSzZxtOxZ2JQWGZL8wV8nKCgAUAWo0nXJYGAqgb1rRYAmN6C2B_UiLi_EeuGzr8R1cf2DUhkeYMU9kU-X_ZBsnFKgMD9eDxPfUW8v6fLX_Typ-D7NheQ40/s1600/IMG-20140312-WA0001.jpg 
Taarifa ya Uhakika iliyotufikia hivi punde ndani ya Ofisi za Globu ya Jamii,inaeleza kuwa Kivuko cha Mv. Magogoni kinachovusha watu na mali zao kutoka Magogoni - Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimepatwa na kwikwi jioni hii baada ya kukatika kwa sehemu ya mkono unaoshika mlango wa upande mmoja wa kuvushia magari na waenda kwa miguu.
Utaratibu wa kutengeneza Kivuko hicho unafanywa hivi sasa na Mafundi wa Kivuko huku Abiria wakiwa wamesimama pembeni kusubiria utaratibu mwingine.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHQbskquF0RE2UxEU5e-vNHtKlIK88Gw4TPj_DtE1J6s9doXqm4uMTXHAMd-00cSW2Le9BLoNCyAzoul2WSnA3ZgPLTWowu2izhJ_wBENYeIRybyAlU5AGaTzrTO44fAVBGkA0FI-lv3rd/s1600/IMG-20140312-WA0002.jpg 
Sehemu ya Abiria waliokuwa kwenye kivuko hicho wakiwa wamesimama pembeni kusubiria Kivuko kingine.
Chanzo: Globu ya jamii
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top