Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KUTANA NA MWANAMKE MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI.

Misao Okawa, ambaye aliwekwa kwenye kitabu cha rekodi kubwa za dunia ‘Guinness’ mwaka jana kama mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi
duniani, jana (March 5) amefanya sherehe ya siku ya kuzaliwa baada ya kufikisha umri wa mika 116.
Misao ambaye anaishi chini ya uangalizi na matunzo huko Osaka, Japan alitangazwa rasmi kuwa mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani baada ya aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo kufariki.
Ingawa umri wake ni mkubwa sana, anaonekana bado ana afya nzuri na aliweza kuipuliza mishumaa yake kama mtu mwingine.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top