Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LIGI KUU BARA: YANGA, AZAM FC NANI KUKAA KILELENI KESHO?, USHINDI MUHIMU KWA KLABU ZOTE!!


 

MMG25630 
Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe, Dar es salaam
0712461976 au 0764302956
WAKIWA na machungu ya kutolewa katika michuano ya kimataifa, mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara, Young Africans, kesho watahamishia hasira zao kwa Mtibwa Sugar katika mechi ya ligi kuu uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Yanga wataingia kwa nguvu zote ili kupunguza maumivu waliyopata huko Alexndria nchini Misri kufuatia kutupwa nje ya ligi ya mabingwa barani Afrika na Al Alhy ya Misri kwa penati 4-3.
 Mchezo wa kesho unatazamiwa kuwa mgumu sana kutokana na mazingira ya timu zote mbili.
Mtibwa Sugar wanahitaji ushindi ili kusogea mbele katika msimamo kwani mpaka sasa wapo nafasi ya 8 wakiwa na pointi 25 ambapo wameshuka dimbani mara 20.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top