Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha
Tabora waliotembelea shamba lake lililopo Zuzu, Dodoma kujifunza ufugaji
bora wa nyuki Machi 22, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Idd kukagua zao la zabibu katika shamba lake lililopo Zuzu
, Dodoma
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu zao la migomba kwa Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ambaye alitembelea shamba
lake lililopo Zuzu mjini Dodoma. Wa pili kulia ni Mbunge wa Simanjiro,
Christopher ole Sendeka na kulia ni Majasiliamali wa Dar es salaam,
Alphonce Buhatwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment