Mkurugenzi
wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga (kushoto) akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam (hawapo pichani) kuhusu
kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014. Katikakati ni Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro, na (kulia) ni Meneja Masoko wa kinywaji hicho, Vimal Vaghmaria.
Loading...
Post a Comment