Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya
kuhutubia katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye
viwanja wa Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na watalaamu wa magonjwa ya figo
katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo, kwenye viwanja
vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014.Kutoka kushoto ni Dr. Tulizo
Sanga wa Muhimbili, Kulindwa Kasubi wa Muhimbili na Regina Ringo wa
Hospitali ya Mirembe ya Dodoma. Katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali
na Mwenyekiti wa wa Taasisi ya Taifa ya Figo Tanzania Jaji Frederick
Werema na kushoto kwake ni Dr. Linda Ezekiel kutoka Wizara ya Afya.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baadhi ya viongozi baada ya kuhutubia
katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo kwneye viwanja
vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Afya, Dr. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwanasheria
Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Figo, Jaji
Frederick Werema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment