
Chanzo cha moto huo bado hakijathibitishwa ingawa kwa mujibu wa wapangaji wamesema kuwa huenda ikawa shoti ya umeme ama moto wa gesi ambao umetokana na mmoja wa wapangaji kuacha mapishi yake jikoni.
Jeshi la polisi limekuwa msaada mkubwa tangu mwanzo wa tukio hadi wakati huu huku idara ya zimamoto ikisimamia uzimaji kwa kushirikiana na wananchi.
HABARI NA PICHA KUTOKA KWA MHARIRI MKUU BARAKA SUNGA SUNRISE


Post a Comment