Ommy
Dimpoz Amethibitisha ni kweli amefanya video yake mpya London ambapo
aliehusika kama Director ni mshkaji ambae amefanya video kadhaa za
wakubwa wa Afrika kama Azonto ya FUSE ODG, video za caro ya Wizkid na
Davido ‘skelewu’
on Wednesday, March 12, 2014
Post a Comment