Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWIGULU NCHEMBA APATA MSIBA MZITO







Mh.Mwigulu Nchemba akiwa na Mke wake Wakiomboleza Msiba wa Marehemu Musa Madelu

 Mh.Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake,Pia Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kyengege Jimboni Iramba wakati wa kwenda kupokea Mwili wa Marehemu Kijijini Kwao Makunda.


Sehemu ya Waombolezaji waliofika Msibani.

Mh.Mwigulu Nchemba akitoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Marehemu Musa Madelu Nchemba ambaye ni kaka yake wa Mh.Mwigulu.

Mkuu wa Mkoa wa Singida akitoa Heshima za Mwisho kwa Marehemu Musa Madelu.

 Kushoto(Mkuu wa Wilaya ya Iramba),Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida,Kulia(Mkuu wa Wilaya ya Singida Mjini) wakibadilishana Mawazo wakati wa kuomboleza Msiba wa Marahemu Musa Madelu.

 Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mh.Yahya Nawanda akikabidhi Rambirambi za Wilaya kwa Wafiwa.

Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Makao makuu ya CCM Dodoma akitoa Rambirambi ya Chama Cha Mapinduzi Taifa kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa.
Mh;Mwigulu Nchemba akielekea kwenye Mazishi ya Kaka yake.

Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Musa Madelu Nchemba likipelekwa eneo la Kaburi tayari kwa Mazishi.

 Baba Mzazi wa Marehemu Musa Madelu akiweka Udongo kwenye Kaburi la Mwanaye Marehemu Musa madelu.

Mama Mzazi wa Marehemu akiweka Udongo Kaburini.



 Mh.Mwigulu Nchemba akiweka Udongo Kaburini wakati wa Mazishi ya Marehemu Musa Madelu

Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akiweka Shada la Maua juu ya kaburi la Marehemu Kaka yake Musa Madelu.

 Marehmu Musa Madelu alifariki Tar.08/03/2014 baada ya Kuugua Muda Mfupi,Mazishi yake yalifanyika Jana Tar.10/03/2014 Kijijini Kwao Makunda Kata ya Kyengege,Wilaya ya Iramba-Singida.Marehemu alikuwa ni Kaka wa Mh.Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara.

Mungu Ametoa,Mungu Ametwaa

Jina la Bwana Lihimidiwe

Amina
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top