BOEING 777-200ER MALI YA SHIRIKA LA NDEGE LA MALASYIA
Ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo wakisubiri taarifa
kuhusiana na ndege hiyo Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria
227 na wafanyakazi 12 inahofiwa kuanguka huko katika bahari kusini mwa
China, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Vietnam.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777-200ER iliyokuwa inatoka Kuala Lumpur
kuelekea Beijing, ilikuwa imepotea kwa masaa kadhaa. Kama ripoti hiyo
ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777)
tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.
Ndugu wakifanya mawasiliano kutaka kujua ukweli
Malaysia Airlines bado haijathibitisha iwapo ndege hiyo imeanguka
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
Duniani Leo2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment