Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Makamu
wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya kuwasili katika ukumbi wa
Tamisemi kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma
leo mchana. Rais kesho anatarajiwa kulizindua rasmi na kulihutubia
Bunge Maalum la Katiba katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo mchana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Waziri wa Afrka Mashariki, Samuel Sitta, wakiwa katika kikao hicho.
Kutoka
(kulia) ni Nibu Waziri, Amos Makala, Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Janeth Mbene, Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,
Dkt. Fenella na Waziri wa Afya, Rashid, wakiwa katika Kikao hicho.
Baadhi ya Mawaziri wakiwa katika kikao hicho.
Baadhi ya Mawaziri wakiwa katika Kikao hicho. Picha na Freddy Maro
Post a Comment