Kaimu
Meneja wa Bandari ya Tanga, Freddy Liundi (wa pili kutoka kushoto)
akitoa maelezo juu ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya
Mwambani kwa kiongozi wa timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka
Tume ya Mipango ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Kongane ya
Sekta za Uzalishaji, Bw. Maduka Kessy.
Timu
ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo, kutoka Tume ya Mipango wakiongozwa
na Naibu Katibu Mtendaji, Bw. Maduka Kessy (wa kwanza kushoto) wakipata
maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa bandari ya mwambani ambapo upembuzi
yakinifu tayari umeshafanyika.
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga akionesha eneo ambapo bandari ya Mwambani itajengwa.
Picha ikionesha eneo la mwambani ambako ndipo miundombinu ya bandari itajengwa.
Timu
ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakisikiliza
maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Bw. Freddy Liundi
(wa pili kulia) ufukweni mwa bahari, eneo ambapo bandari ya Mwambani
itajengwa.(Picha na Joyce Mkinga).
Post a Comment