As a Citizen & Patriot of my Motherland Tanzania, I give due
respect to the opinions of all Tanzanians on the current Constitution
review.
Much as convictions and
beliefs of President JK (2govts) and Judge Warioba (3govts) are
divergent, I will support the popular decision thru the coming National
referendum.
However, for now, my stand is for 3 Governments because of the following:
1. The life-span and relevance of the two-tier Govts has reached its end.
2. Complaints/grievances on Union issues have not been solved for mutual benefit.
3. A 3tier govt is the ultimate solution given the 2 reasons above. And to me this an evolution of the reality...
Kama Mtanzania na Mzalendo, ninaheshimu mtazamo/mawazo ya Watanzania wote.
Licha ya kwamba mawazo ya
Rais JK (Serikali 2) na Jaji Warioba (Serikali 3) yametofautiana, binafsi nitaunga mkono hoja/msimamo wa wengi kupitia kura za maoni za kitaifa.
Hata hivyo kwa sasa bado ninaunga mkono muundo wa Serikali 3 kwasababu zifuatazo:
1. Mfumo wa Serikali 2 unaonekana kufikia kikomo na kutokuwa na umuhimu tena baada ya miaka 50 ya uhai wake.
2. Kero za Muungano zimeshindwa kupata suluhisho/muafaka kwa manufaa ya wote.
3. Muundo wa Serikali 3 ndio jawabu pekee kwasababu nilizotoa hapo juu. Na kwangu mimi hatua hii ni muendelezo wa hali halisi...

Post a Comment