Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TAARIFA JUU YA KIFO CHA MKUU WA MKOA WA MARA




Mkuu wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tupa, amefariki dunia  katika hospitali ya Tarime.
Habari zinasema kuwa umauti huo umemfika baada ya Presha kupanda ghafla akitoka Musoma kuelekea Tarime kufunga Mafunzo ya Mgambo, ambapo alipelekwa haraka katika hospital ya Tarime.
Katibu wa Mkoa Bw. Benedictor, amesema kuwa wakati alipokuwa akiwasiliana na Dokta wa hospital hiyo kila muda, aliambiwa hali ya mgonjwa inaendelea kuimarika na baada ya muda taarifa zilizokuja zilikuwa za kifo.
Mpaka sasa mwili wa marehemu unachukuliwa kurudihwa Mkoa wa Mara ambapo alipokuwa anaishi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top