Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TAARIFA YA MAHAKAMA KUHUSU KESI YA MSANII AT KUSHINDWA KUMLIPA MGANGA WAKE WA KIENYEJI...!!

AT Kesi ya madai iliyofunguliwa mwezi uliopita na mganga wa jadi dhidi ya AT   ambaye  ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, leo ndo ilikua tarehe yake katika mahamaka ya mwanzo Buguruni.

Asubuhi AT alifika mahakamani mapema na ilipofika zamu yake akaitwa na na kusomewa shitaka na AT alikanusha. 
 
Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 04 April 2014, ambapo mdai ambaye ni mganga Dr sherif ametakiwa kwenda na vielelezo vyote kuthibitisha madai hayo.
Katika kesi hiyo,  Dr sherif anadai kuwa kati ya mwaka 2010 na mwaka 2013 alimtibu   msanii  AT, na msanii huyo hakulipa bili  za  matibabu  hayo.
 
  Matibabu hayo ni pamoja na kuinua nyota yake, kumpatia tuzo ya kili mwaka 2013, na mengineyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top