Picha
inayoonesha moja ya mashimo yaliyochorongwa katika Bonde la Engaruka
Wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha kuthibitisha uwepo wa hazina kubwa ya
magadi soda. Hii ilidhihirishwa mbele ya Katibu Mtendaji wa Tume ya
Mipango, Dkt. Philip Mpango aliyeongoza timu ya wakaguzi wa miradi ya
maendeleo kutoka katika ofisi yake (hawapo pichani)
Katibu
Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa kwanza kushoto)
akionja maji ya magadi soda yaliyotoka katika moja ya shimo
lilichorongwa katika bonde la Engaruka alipoongoza timu ya wakaguzi wa
miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango. Anayewamiminia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Bw. Gideon Nasari.
Timu
ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakijaziwa
maji ya magadi soda katika chupa za maji ya kunywa walipotembelea bonde
la Engaruka ambako kuna hazina kubwa ya magadi soda.
Katibu
Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango akitazama (admires)
kipande cha magadi soda katika eneo la Ziwa Natron Wilaya ya Ngorongoro
Mkoa wa Arusha alipoongoza timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo
kutoka katika ofisi yake. Pamoja naye ni watoto wa kimasai waliokuwa
wakiuza vipande hivyo vya magadi soda.
Picha na Joyce Mkinga,
Mkuu wa Mawasiliano Serikalini,
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipang
Post a Comment