Habari
zizizoufikia mtandao huu kutoka Rorya Mkoani Mara ni kwamba, mtu ambaye
jina lake halijapatikana mara moja, ameenda kwenye mahakama ya wilaya,
akapanda kwenye mlingoti na kuishusha bendera ya taifa, kisha akaondoka
nayo nyumbani na kuifanya shuka la kujifunikia.
Tayari mtuhumiwa huyo amekamatwa na sasa yupo Rumande akisubiria hatma yake
Chanzo:RFA _Matukio.
on Thursday, March 20, 2014
Post a Comment