Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

USAID yatoa elimu ya lishe Zanzibar

 


pic 1 
Mkuu wa Wilaya mjini Unguja ,Bw Abdul Mahmood Mzee (katikati) akisalimiana na Bw Charles David wa USAID na Bi Rebecca Savoure Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe Chakula katika viwanja vya Karakana Unguja,wakati wa uhamasishaji juu ya umuhimu na faida za Virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6 – miaka 5.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya 8 za Tanzania bara na 2 za visiwanipic 2
Mkuu wa mkoa Mjini Magharibi Unguja,Bw Abdallah Mwinyi Khamis (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe chakula(kulia) Bi Rebecca Savoure wakati wa uzinduzi wa kampeni za uhamasishaji  virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5,kiwa ni mkakati wa Serikali ya Tanzania,ikishirikiana na USAID Tuboreshe Chakula kupunguza utapiamlo nchinipicWanafunzi wa shule za awali waUnguja walishiriki katika sherehe sherehe za uzinduzi na uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.Watoto hawa ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.

pic3Akina mama wenye watoto waliohudhuria kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.Watoto wadogi ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya kumi za Tanzania Bara na Visiwani chini ya udhamini  wa USAID
pict 4Mkurugenzi mkazi wa shirika la USAID Tuboreshe Chakula, Bi Rebeca Savoure ,akitoa zawadi ya unga lishe kwa mmoja wa  kina mama,mkazi wa Unguja mjini,katika kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto miezi 6-miaka 5,lengo likiwa ni kupunguza utapiamlo nchini
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top