Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizindua Mtandao wa Blog ya (WEB SITE) wa Jumiya ya Fawe Zanzibar katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA leo asubuhi,(kulia) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed.
Baadhi
ya wanachama wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar na wananchi wakimsikiliza Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza katika uzinduzi
wa Mtandao wa Web site wa Fawe Zanzibar uliofanyika le katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.

Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza na wanachama na wananchi katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site wa Fawe Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akimkabidhi cheti Bi
Asha Abdalla Juma kwa niaba ya Bi Mwatima Abdalla Juma wakiwa
waanzilishi wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar ,wakati wa uzinduzi wa WEB SITE
ya Jumuiya hiyo Uliofanyika katika Ukumbi wa wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment