Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

VURUGU ZATOKEA ZANZIBAR, MAGARI YA SERIKALI YAPIGWA MAWE NA KUPINDULIWA... HALI SI SHWARI

 




 


Kwa mujibunnwa taarifa za mitandaoni huko Zanzibar kumetokea vurugu,kupiga mawe magari ya serikali huku wafanyakazi wa serikali wakijeruhiwa .. 


Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa, katika gari hakuwemo katibu huyo mkuu bali  alikuwemo dereva wake ambaye mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri, Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi.

Chanzo:mitandao ya kijamii
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top