Mwenyekiti
wa i wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu
mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa
ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa udhuru, na wataapishwa wiki
ijayo.
Wajumbe
wa Bunge maalum Mhe,Anne Kilango Malecela (shoto) akijadiliana jambo na
Mhe.Beatrice Shelukindo wakati wa zoezi la kuapisha wabunge.
Waheshimiwa,
Zakhia Meghji, Zarina Shamte Madabida na Zaynabu Matitu Vullu
wakisubiri zamu yao ya kuapishwa wakiwa ni wajumbe wa mwishoni kuapa
kwa kufuata utaratibu wa alfabeti za majina yao ya kwanza yanayoanza na
"Z".
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakishuhudia wenzao wakiapa
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakishuhudia wenzao wakiapa
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakishuhudia wenzao wakila kiapo. Picha na Deusdedit Moshi, Dodoma
Post a Comment