Wilshere alianguka baada ya kugongana na beki wa Denmark, Daniel Agger mwanzoni mwa mchezo
Wilshere akiugulia maumivu baada ya kuumia
KLABU ya Arsenal imepata pigo baada ya kiungo wake Jack Wilshere kuumia akiichezea timu ya taifa ya England dhidi ya Denmark jana usiku na atakuwa nje kwa wiki sita akipatiwa matibabu.



Post a Comment