Katika
hali ya sintofahamu kijana mmoja amekutwa akiwa amelewa chakali na
kulala kwenye stendi ya mwenge. kukata ‘netiweki’ jambo lililosababisha
‘aangushe gari’ pembeni mwa stendi ya daladala ya Mwenge jijini Dar.
Ishu hiyo ilitokea wiki iliyopita ambapo paparazi wetu alibahatika
kushuhudia laivu jamaa akijigeuzageuza kama yuko kitandani
kwake.Kufuatia tukio hilo, kibaka mmoja aliamua kumgeuza dili mlevi huyo
kwa kumsachi na kumchania mifuko yote ya suruali jambo
Loading...
Post a Comment