Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia)
akiongea na Rais na Mwanzilishi wa International Youth Fellowship
kutoka Korea Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto )na ujumbe wake (haupo
pichani) ambapo walizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni juhudi za
kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili.Makao Makuu ya Shirika hilo
ni Korea Kusini (Picha na Benjamin Sawe).
Waziri
wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia)
akimsikiliza Rais na Mwanzilishi wa International Youth Fellowship
Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto )na ujumbe wake (haupo pichani) ambapo
walizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni juhudi za kudumisha
ushirikiano baina ya pande mbili. (Picha na Benjamin Sawe). Rais
na Mwanzilishi wa International Youth Foundation Mchungaji Ock Soo
Pack (kushoto )na ujumbe wake (haupo pichani) akisisitiza jambo kwa
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara
wakati ujumbe huo ulipomtembelea Waziri Ofisini kwake ambapo waliongea
mambo mbalimbali kuhusu kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili.
(Picha na Benjamin Sawe). Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia)
akifurahia jambo na Rais na Mwanzilishi wa International Youth
Fellowship Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto )na ujumbe wake (haupo
pichani) ambapo walizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni juhudi za
kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili. (Picha na Benjamin Sawe).Loading...
Post a Comment