Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JEURI YA FWEZA SUPER STAR KAJALA AANZA KUMUONYESHA HASIMU WAKE MKUBWA SUPER STAR WEMA SEPETU JEURI YA PESA SOMA HAPA HABARI KAMILI LIVE!!

 




MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba.




Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala.
Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo
Kimara Temboni akiwa ‘anadraivu’ gari aina ya
Toyota Harrier nyeusi na kuzua gumzo eneo hilo


Kajala Masanja.
Baadaye msafara ulipohamia Makaburi ya Kinondoni alipozikwa Kanumba, alitinga na gari lingine aina ya Toyota Brevis lile ambalo ilidaiwa kuwa alinunuliwa na yule kigogo wa shosti wake, Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la CK. Jeuri hiyo iliwafanya wengi kubaki na vingi viulizo na Ijumaa lilipojaribu kumdadisi hakutoa ushirikiano na hata alipopigiwa simu baadaye hakupatikana hewani
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top