Hadi
sasa Luis Suarez ameshafunga magoli 30 kwenye ligi ngumu ya uingereza
na kuisaidia timu yake ya Liverpool kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwania
ubigwa wa ligi hiyo.
Suarez anakuwa mchezaji wa pili kutoka Liverpool kushinda award hiyo
na kama wakifanikiwa kuwa mabingwa itakuwa ni mara ya kwanza tangu miaka
24 ipite.
Mchezaji mwingine aliyeshinda award ni Eden Hazard ambaye ametajwa kuwa PFA Young Player of the Year.
Mchezaji huyu mwenye miaka 23 anaisaidia kwa kiasi kikubwa timu yake ya Chelsea kwenye mechi zao.
Post a Comment