Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJIJINI DODOMA

       wajumbe


1 (12) Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa mwongozo kwa wajumbe wa Bunge hilo leo mjini Dodoma juu ya kuzingatia yaliyoandikwa katika taarifa za Kamati mbalimbali za Bunge hilo.
2 (5) Mjumbe kutoka Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba Dkt. Hamis Kigwangalla akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo kwenye kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.3 (8) Wajumbe wa Bunge Maalum la KatibaTundu Lissu(kushoto) akisalimiana na Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) mara baada ya kikao cha Bunge hilo leo mjini Dodoma. Kulia ni Mchungaji Peter Msigwa.msigwa Mjumbe kutoka Kamati namba tatu ya Bunge Maalum la Katiba Mchungaji Peter Msigwa  akiwasilisha maoni ya wachache  Kamati hiyo kwenye kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.tund Mjumbe kutoka Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu  akiwasilisha maoni ya wachache  Kamati hiyo kwenye kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.wajumbe 
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiondoka katika eneo la Bunge leo mjini Dodoma baada ya kikao kuharishwa.
Picha na Bunge Maalum la Katiba
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top