Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma
karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo
la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa
kupiga kura za kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze.
Mama Salma Kikwete akiweka kura yake kwenye sanduku la kupigia kura kwenye kituo cha Zahanati Msoga.
Mgombea
wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha AFP Ndugu Ramadhani Mgaya
akizungumza na waandishi wa habarai nje ya kituo cha Ofisi ya Mtendaji
Kata namba 1 na kusema kuwa Chama chake kitakubali matokea yeyote na pia
kama watashindwa watajipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2015.
Mgombea
wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Mathayo Torongey akizungumza na
baadhi ya mawakala alipotembelea kituo cha Ofisi Mtendaji Kata namba 1,
Bwilingu.
Mgombea
wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akihakiki taarifa
zake kabla ya kupiga kura kwenye kituo cha Ofisi ya Mtendaji Kata namba 3
Bwilingu, Chalinze.
Aziza
mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu
Ridhiwani Kikwete akimsaidia Baba yake kuweka kura kwenye sanduku la
kura ,Ridhiwani alipigia kura yake kwenye kata ya Bwilingu.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi Jimbo la Chalinze Ndugu Samuel Salianga akizungumza na
waandishi wa habari nje ya kituo cha Ofisi ya Mtendaji Kata Bwilingu na
kutoa tathmini ya jinsi zoezi linavyoendelea na kufafanua mambo mbali
mbali yanayohusu uhalali wa wagombea kupiga kura popote ndani ya jimbo
la uchaguzi.
Post a Comment