Balozi
wa Tanzania nchini Marekani Mhe. (Riberata Mulamula kulia)akiwaongoza
ma afisa wa ubalozi Paul Mwafongo kushoto na Suleiman Saleh wa pili
kutoka kushoto kumpokea Naibu Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Lameck
Nchemba alipowasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwaajili ya
kuungana na Watanzania waishio nchini Marekani katika maazimisho ya
miaka 50 ya sherehe ya muungano.
Duniani Leo
1 hour ago
Post a Comment