MSANII
wa filamu za Kibongo, William Mtitu ameelza kuwa, anakesha na kuomba
ili Mungu amuwezeshe kumponya baba yake mzazi, Mzee John Mtitu ambaye
yuko hoi hospitali kutokana na kuugua kwa muda mrefu.
Akizungumza kwa huzuni Mtitu alisema ni muda mrefu umepita tangu baba yake aanze kuugua na kulazwa Taasisi ya Mifupa Moi akisumbuliwa na uvimbe kichwani hali iliyomsababishia afanyiwe upasuaji.
“Yaani nimehangaika sana na baba yangu, nimemaliza fedha nyingi yaani namuombea tu kwa Mungu amponye maana alifanyiwa upasuaji wa kichwa ni siku tano sasa hajazinduka,” alisema Mtitu.

Post a Comment