Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki
Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (wakatikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa
CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti
wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi
pesa taslim na vifaa vya michezo kwa tim za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi
aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya
Ocean View Mjini Zanzibar.
Diwani wa Jimbo la Kiembe samaki Bw.
Gharib Mohamed Addy akizungumza na wanamichezo wa Jimbo hilo (hawapo
pichani)kabla yakukabidhiwa vifaa vya michezo na Mwakilishi wa Jimbo la
Kiembe samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo
Baadhi ya wanamichezo na viongozi
mbalimbali wa Jimbo la Kiembe samaki wakimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo
hilo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (hayupo pichani) kabla ya kukabidhi pesa
na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo lake.
Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi
pesa sh/= laki nne kiongozi wa tim ya Smoll Zico ya Kiembe samaki ikiwa
ni ahadi aliyoito wakati wa kampeni zake.
Mhe.
Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi Katibu wa Tim ya Mbweni Kids Khalifa
Khamis vifaa mbalimbali vya michezo, Jumla ya tim nane za Jimbo hilo
zimepata pesa na vifaa mbalimbali vya michezo vyenye thamani ya shiling
milioni saba na nusu.
(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO ZANZIBAR).
Post a Comment