Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto)
akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge
jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji
wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji
Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon
Chaligha.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia) akisisitiza
jambo wakati kisoma risala siku moja kabla ya siku ya kupiga kura katika
uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika
ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Na wa kwanza kushoto ni Mjumbe wa Tume
hiyo ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki John Joseph Mkwawa.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi akimsikiliza
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (hayupo
pichani) wakati kisoma risala siku moja kabla ya siku ya kupiga kura katika
uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika
ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo.
Baadhi
ya waandishi wa habari na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati akisoma risala
siku moja kabla ya siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la
Chalinze ikiwa ni utaratibu uliwekwa na tume hiyo kabla ya uchaguzi.
(Picha
zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
Post a Comment