Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX HUKO NCHINI CHINA NI KUFURU, CHEKI PICHA HIZI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI

 


Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NITASUBIRI, Jux ameshea picha hizi katika mtandao wa kijamii wa instagram na kuzungumza juu ya ujio wa video yake hiyo itayokujia hivi karibuni.

Tazama picha jinsi utengenezaji wa video hiyo ulivyochukua nafasi huko nchini china





Ni shidaaaaa...



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top