Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri mkuu ajiuzulu

                                      


120409164427 jp mali.gallery nocredit 4a3c3
Waziri mkuu nchini Mali Oumar Tatamy Ly pamoja na baraza lake la mawaziri wamejiuzulu,miezi minane tu baada ya demokrasia kurudi nchini humo kufuatia udhibiti wa eneo la kazkazini uliotekelezwa na wanamgambo wa kiislamu.
Mabadiliko katika serikali yalitarajiwa kufanyika ,lakini mwandishi wa BBC katika mji mkuu wa Mali Bamako,anasema kuwa kiwango cha mabadiliko hayo hakikutarajiwa.
Waziri mkuu mpya ,Moussa Mara amekuwa mpinzani mkuu wa rais Boubakr Keita hapo awali.
Bwana Mara aliye na umri wa miaka 39 amekuwa akiitaka serikali kuimarisha usalama katika eneo la kazkazini la nchi hiyo.(Hudugu Ng'amilo)
CHANZO BBC
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top