Loading...
Home »
Unlabelled »
ANGALIA MADAWA YA KULEVYA YALIVYOMUHARIBU VIDEO QUEEN WA NGOMA YA ICE CREAM YA NOORAH
Hakuna
asiye kumbuka how big video ya Noorah aka Baba styles ilivyosumbua TV
za watu na ngoma yake ya Ice cream akimshirikisha Sumalee.
Mkali
huyo ambae aliweza kufanya show kibao katika mikoa mbali mbali na kuwa
maarufu vibaya sana, katika mashairi yake kulikuwa na verse kama ” demu mwenye shepu la kukata ndio maana mabishoo wana data coz ana utamu kama Ice cream”.

Sasa
hapa vibe imekutana na Miss Ice cream (Doreen) ambae ni video queen wa
ngoma hiyo sasa hivi ni mteja mzuri sana maeneo ya Sinza makaburini huku
akikataa kufungua sababu ya yeye kuwa mteja lakin akidai msaada kwa
jamii au yeyote atakae guswa na mateso yake kwani hali yake ni mbaya
sana
Hata
kwa kumuona tu na kutoa msaada haraka itakua vyema maana miguu yake
imevimba sana na tumbo lake likiwa kubwa huku akiwa ujauzito wowote,
this is very sad indeed kwa Doreen . Kwa yoyote anayeweza kumsaidia
mrembo huyu ni vyema kufanya hivyo sababu anahitaji maombi.
WAWEZA KUIPLAY
>>HAPA<< UJIKUMBUSHIE
on Monday, May 12, 2014
Post a Comment