Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!
Radio
Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa
na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge
hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi,
Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla.
Chanzo: Radio Dutch Velle
Post a Comment