Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAJALA AUMBUKA, KAMERA ZA PAPARAZI ZA MNASA BILA MAKE UP, TAZAMA UCHEKE HAPA !!



MASTAA wetu Bongo ukimtokea ghafla na ukataka kumpiga picha bila kujiremba unaweza kumuua kwa hofu, siku za karibuni kamera ya paparazi ilimkosesha raha nyota wa filamu Swahiliwood Kajala Masanja pale alipokutana na mpiga picha wetu na kutaka kumpiga picha kama sehemu ya kumbukumbu katika matukio, msanii huyo alizuia huku akilalamika.


“Aaah sitaki jamanii unanipigaji picha hivi hata sijajiandaa jamani, nipo rafu sipendi ukipiga picha angalau uwe smart, usinipige picha sitaki sitaki sijajiandaa picha zitakuwa mbaya please usifanye hivyo,”anasema.

Utafiti unaonyesha kuwa mara nyingi nyota wa filamu wamejenga tabia ya kujiandaa kwa kujipodoa wakiwa wapo location au wakifanya mahojiano na wanahabari, hivyo kuwa na muonekano tofauti na wanavyokuwa na isha ya kawaida wakiwa katika mishemishe zao 

Download Our App

1 comments:

Tena kapendeza sana natural

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top