Rais
Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Karume akimkaribisha nyumbani kwake
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad wakati wa
kikao cha Maridhiano na dharura. Mazungumzo hayo yalifanyika siku ya
Jumatano, tarehe 30 Aprili, 2014 nyumbani kwa Dr. Karume huko Mbweni,
nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Rais
Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Karume akiwa na mgeni wake Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na ujumbe wake
(haupo pichani) uliofika katika kikao cha Maridhiano na dharura.
Mazungumzo hayo yalifanyika siku ya Jumatano, tarehe 30 Aprili, 2014
nyumbani kwa Dr. Karume huko Mbweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Picha za
kikao cha pamoja cha mashauriano baina ya Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk.
Amani Karume, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif
Hamad, na Wajumbe wa Kamati ya Maridhiano wakiongozwa na Mwenyekiti wao,
Mhe. Hassan Nassor Moyo akiwa na Mansoor Yussuf Himid, Mohamed Ahmed
Al-Mugheiry (Eddy Riyami), Salim Bimani na Ismail Jussa. Mjumbe mwengine
Mhe. Abubakar Khamis hakuweza kuhudhuria kutokana na dharura.
Mazungumzo hayo yalifanyika siku ya Jumatano, tarehe 30 Aprili, 2014
nyumbani kwa Dr. Karume huko Mbweni, nj
Post a Comment