Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la
Singida Kaskazini Ndugu Lazaro Nyalandu katika kijiji cha Kaskazi mkoani
Singida,Katibu Mkuu atakuwa kwenye ziara ya siku nane mkoani Singida.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na mafundi kupandish
bati wakati wa ujenzi wa maabara ya shule ya sekondari Mgando,Singida
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na viongozi wa CCM mkoa
wa Singida na Kundi la akina mama wajasiriamali wa Itagata kuelekea
kwenye mkutano wa hadhara baada ya kufungua shina la akina mama hao wa
Itagata,Singida.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa bwawa la maji la Itagata,Singida. (FS)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Itigi mkoani Singida .
Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Itigi na
kuwaambia CCM ipo imara na kuwaambia wananchi hao muungano wa vyama
vya siasa unaofahamika kama UKAWA ndio utahitimisha maisha ya baadhi ya
vyama vya siasa nchini.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma barua ya wakazi wa Tura
ambao wanahitaji kujengewa kivuko kwenye reli ili kuwasaidia kwenda
kuchota maji bila matatizo kwani kwa sasa wanapata tabu,Katibu Mkuu
alisimama Tura kuwasalimu wananchi na kisha kuendelea na safari kuelekea
Singida.
Post a Comment