Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga.
Kamera yetu leo hii imenasa mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika
jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es
Salaam.Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo ambayo waliikuta ikiwa imeharibika kwa kiasi kikubwa.
(Picha: Chande Abdallah/GPL)
Post a Comment