Mauaji
ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema, miaka 33
mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama Shinyanga kuuawa kwa
kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia
nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.
Loading...
Post a Comment