Tarehe
15 Mei miaka 238 iliyopita kama leo, ilitengenezwa meli ya kwanza yenye
kutumia mvuke. Meli inayotumia nishati ya mvuke ilitengenezwa miaka 70
baada ya kuvumbuliwa nishati ya mvuke na mhandisi wa Kifaransa Denis
Papin. Utumiaji wa nishati ya mvuke katika meli ulileta mabadiliko
makubwa katika sekta ya usafiri wa baharini.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
Jioni23 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment