Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MPINZANI WA MASOGANGE HAPA BONGO KWA SASA



Kila mtu maarufu hapa bongo anakitu cha 

kwanza ambacho ndio kilimtoa. Kwa 
Agness Gerald ilikua ni ile video ya nyimbo 
ya masogange aliyoimba belle 9 ambayo 
yeye alikua video queen. Tokea Video ya 
masogange itoke basi hapo ndipo Agness 
alipobatizwa jina la masogange na kusifiwa 
kwa kua na shape moja ya kufa mtu kwa 
upande wa video queens hapa Bongo. Hadi 
leo ukitaja video queen mwenye shape ya 
ukweli basi wa kwanza kumtaja atakua ni 
Agness Masogange.
Baada ya kushika chati kwa muda sasa , 
video queen mwingine kutoka Arusha , 
Hellem aliyeshirikishwa kwenye video ya nje 
ya box anaonekana kutaka kuchukua 
mikoba ya masogange. Demu huyu ambaye 
kwa plan za mwanzo hakutakiwa kutokea 
kwenye video ya nje ya box kwakua kulikua 
na video queen mwingine aliyekimbia 
dakika za mwisho na yeye kuchukua 
mikoba hiyo anamvuto na umbile zuri na la 
kuvutia na niwazi aktokea kwenye video 
nyingine chache basi tutamsahau 
masogange. 
credit - vibe
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top