Mmoja wa Waimbaji nyota wa muziki wa dansi waliowahi kuwika haka nchini,amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Mwimbaji
huyo aliyetamba sana na band ya Tam Tam na Double M iliyokuwa
ikiongozwa na Mwanamuziki nyota pia wa muziki wa dansi hapa nchini
Muumin Mwinjuma,amefia nchini Thailand alikokuwa akifanya kazi kwa muda
mrefu.
Mtu
mmoja wa Karibu na Amina Ngaluma,Mwanahamis Omary wa jiji Dar ameiambia
Saluti5 kuwa mwimbaji huyo amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa
Moja
ya nyimbo zilizompatia sifa nyingi mwimbaji huyo ni Mgumba No 1
aliouimba akiwa bendi ya African Revolution a.k.a Tam Tam chini ya
Muumin Mwinyjuma a.k.a Kocha wa Dunia.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAHALI PEMA PEPONI -AMEN
Chanzo hapa
Post a Comment