Loading...
Home »
Unlabelled »
RAIS AZUNGUMZAA UONGOZI WA OFISI YA RAIS,KAZI NA UTUMISHI WA UMMA
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma katika
mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi
2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa
Umma katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka
Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
on Friday, May 2, 2014
Post a Comment